• HABARI MPYA

  Friday, March 12, 2021

  ARSENAL YAWACHAPA OLYMPIACOS 3-0 UEFA EUROPA LEAGUE


  ARSENAL jana wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Olympiakos katika mchezo wa kwanza Hatua ya 32 Bora UEFA Europa League Uwanja wa Georgios Karaiskaki Jijini Piraeus, Ugiriki.
  Mabao ya Arsenal yalifungwa Martin Odegaard dakika ya 34, Gabriel Magalhaes dakika ya 79 na Mohamed Elneny dakika ya 85, wakati la Olympiakos limefungwa na Youssef El-Arabi dakika ya 58 na timu hizo zitarudiana Machi 18 Uwanja wa Emirates Jijini London
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAWACHAPA OLYMPIACOS 3-0 UEFA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top