• HABARI MPYA

  Monday, March 29, 2021

  UJERUMANI YAICHAPA ROMANIA 1-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA


  BAO pekee la Serge Gnabry dakika ya 16 jana liliipa Ujerumani ushindi wa 1-0 dhidi ya Romania Uwanja wa Taifa wa Bucuresti katika mchezo wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia kwa bara la Ulaya.
  Ujerumani inafikisha pointi sita baada ya mechi mbili za awali na kuendelea kuongoza Kundi kwa wastani tu dhidi ya Armenia inayofuatia, zikifuatiwa na Macedonia Kaskazini Romania zenye pointi tatu kila moja, wakati Iceland na Liechtenstein hazina pointi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UJERUMANI YAICHAPA ROMANIA 1-0 KUFUZU KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top