• HABARI MPYA

  Tuesday, March 09, 2021

  YANGA SC YAMREJESHA MWAMBUSI KAMA KOCHA WA MUDA BAADA YA KUMTIMUA MRUNDI KAZI NA WASAIDIZI WAKE WOTE

  KOCHA Juma Mwambusi amereshwa kama Kocha wa Muda Yanga SC kufuatia kuondolewa kwa Mrundi, Cedric Kaze na Wasaidizi wake wote, Nizar Khalfan, Vladimir Niyonkuru na Mghana, Edem.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC YAMREJESHA MWAMBUSI KAMA KOCHA WA MUDA BAADA YA KUMTIMUA MRUNDI KAZI NA WASAIDIZI WAKE WOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top