• HABARI MPYA

  Wednesday, March 17, 2021

  MANCHESTER CITY YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA


  MABAO ya Kevin De Bruyne dakika ya 12 na Ilkay Gundogan dakika ya 18 jana yaliipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach kwenye mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya hivyo kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 4-0 kufuatia kushinda 2-0 pia kwenye mchezo wa kwanza ugenini
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YATINGA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top