• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 20, 2021

  RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI


  RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, akisaini kitabu cha waombolezaji kwenye msiba wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mh.Dkt.John Pombe Magufuli aliyefariki dunia Machi 17, mwaka huu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAIS WA TFF, WALLACE KARIA ALIPOTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top