• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 31, 2021

  MWANAYANGA NA MMILIKI WA SINGIDA UNITED, DK MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA NAFASI YA DK MPANGO WIZARA YA FEDHA


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samiah Suluhu Hassan amemteua Dk Mwigulu Lameck Nchemba, Mlezi wa klabu ya Singida United kuwa Waziri wa Fedha, nafasi iliyoachwa wazi na Dk Philip Isdori Mpango aliyeteuliwa kuwa Makamu wa Rais. 
  Awali, Nchemba ambaye pia ni Mbunge wa Iramba Magharibi na mpenzi wa klabu ya Yanga alikuwa Waziri wa Katiba na Sheria baada ya pia kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWANAYANGA NA MMILIKI WA SINGIDA UNITED, DK MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA NAFASI YA DK MPANGO WIZARA YA FEDHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top