• HABARI MPYA

  Tuesday, March 09, 2021

  CAF YAIFUTA MICHUANO YA FAINALI ZA AFCON ZILIZOPANGWA KUANZA JUMAMOSI


  SHIRIKISHO la Soka Afrika CAF limezifuta Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Vijana chini ya umri wa miaka 17, AFCON  U17 2021 zilizopangwa kuanza Machi 13 hadi 30 nchini Morocco.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CAF YAIFUTA MICHUANO YA FAINALI ZA AFCON ZILIZOPANGWA KUANZA JUMAMOSI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top