• HABARI MPYA

  Tuesday, March 09, 2021

  SIMBA SC YAKATA RUFAA CAF EL MERREIKH ILITUMIA WACHEZAJI WAWILI WALIOFUNGIWA NCHINI SUDAN


  KLABU ya Simba imepeleka malalamiko Shirikisho la Soka Afrika (CAF) juu ya El Merreikh ya Sudan kutumia wachezaji wawili waliofungiwa kwenye mechi baina yao ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
  Simba SC ililazimisha sare ya 0-0 na El Merreikh Jumamosi mjini Omdurman katika mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika na siku hiyo inadaiwa wenyeji walitumia wachezaji wawili wasio halali.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAKATA RUFAA CAF EL MERREIKH ILITUMIA WACHEZAJI WAWILI WALIOFUNGIWA NCHINI SUDAN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top