• HABARI MPYA

  Sunday, March 07, 2021

  BARCELONA YAICHAPA OSASUNA 2-0, YAKAA NAFASI YA PILI LA LIGA


  TIMU ya Barcelona jana imepata ushindi wa ugenini wa 2-0 dhidi ya Osasuna, mabao ya Jordi Alba dakika ya 30 na Ilaix Kourouma dakika ya 83.
  Ushindi huo unaifanya Barca ifikishe pointi 56 baada ya kucheza mechi 26 na kuendelea kushika mafasi ya pili, ikizidiwa pointi mbili na Atletico Madrid ambao pia wana mechi mbili mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA OSASUNA 2-0, YAKAA NAFASI YA PILI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top