• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 24, 2021

  BOSI WA SIMBA SC, MO DEWJI ALIVYOMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN POMBE MAGUFULI


  MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji akiuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli aliyefariki dunia Machi 17, mwaka huu juzi uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BOSI WA SIMBA SC, MO DEWJI ALIVYOMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN POMBE MAGUFULI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top