• HABARI MPYA

  Monday, March 22, 2021

  ARSENAL YATOKA NYUMA 3-0 KUPATA SARE YA 3-3 NA WEST HAM


  TIMU ya Arsenal jana imetoka nyuma kwa mabao matatu na kupata sare ya 3-3 na West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London.
  West Ham walitangulia kwa mabao ya Jesse Lingard dakika ya 15, Jarrod Bowen dakika ya 17 na Tomas Soucek dakika ya 32.
  Mabao ya Arsenal yalifungwa na Soucek dakika ya 38 na Craig Dawson dakika ya 61 wote wakijifunga na Alexandre Lacazette dakika ya 82
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YATOKA NYUMA 3-0 KUPATA SARE YA 3-3 NA WEST HAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top