• HABARI MPYA

  Friday, March 19, 2021

  ARSENAL YAPIGWA LONDON, LAKINI YATINGA ROBO FAINALI


  BAO pekee la Youssef El-Arabi dakika ya 51 jana liliipa Olympiacos ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Arsenal katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Bora UEFA Europa League Uwanja wa Emirates, Jijini London. Pamoja na kufungwa nyumbani, lakini Arsenal inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kushinda 3-1 kwenye mchezo wa kwanza Jijini Piraeus 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAPIGWA LONDON, LAKINI YATINGA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top