• HABARI MPYA

  Sunday, March 21, 2021

  BOSI MKUBWA WA AZAM FC AUNGANA NA WATANZANIA WENGINE KUMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN MAGUFULI


  Mtendaji Mkuu wa Bakhresa Group, Abubakar Bakhresa (katikati), wamiliki wa Azam FC akiwa na Mkurugenzi wa Mahusiano wa kampuni hiyo, Hussein Sufiani Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17, mwaka huu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BOSI MKUBWA WA AZAM FC AUNGANA NA WATANZANIA WENGINE KUMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA DK JOHN MAGUFULI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top