• HABARI MPYA

  Monday, March 29, 2021

  MKENYA RAZACK SIWA ASAINI MKATABA WA KUWA KOCHA WA MAKIPA WA KLABU YA YANGA


  KAIMU Katibu Mkuu wa Yanga SC, Hajji Mfikirwa akiwa ameshika nakala za mkataba pamoja na Razak Siwa (kulia) baada ya Mkenya huyo kuajiriwa kama kocha wa makipa wa klabu hiyo leo Dar es Salaam


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MKENYA RAZACK SIWA ASAINI MKATABA WA KUWA KOCHA WA MAKIPA WA KLABU YA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top