• HABARI MPYA

  Wednesday, March 31, 2021

  TANZANIA YAJIWEKA PAZURI KUFUZU AFCON YA SOKA LA UFKWENI BAADA YA KUIPIGA BURUNDI 8-3


  TANZANIA jana imeichapa Burundi 8-3 katika mcheza wa kwanza kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa soka la Ufukweni (AFCON - Beach Soccer) mwakani, 2022 uliofanyika Ufukwe wa Coco, Dar es Salaa. Baaaa ya mchezo huo wa jana, timu hizo zitarudiana Aprili 3 na mshindi wa jumla atasonga mbele.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TANZANIA YAJIWEKA PAZURI KUFUZU AFCON YA SOKA LA UFKWENI BAADA YA KUIPIGA BURUNDI 8-3 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top