• HABARI MPYA

  Sunday, March 14, 2021

  GWAMBINA FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA POLISI TANZANIA MISUNGWI, LEO NI PRISONS NA JKT SUMBAWANGA

  BAADA ya Gwambina FC kulazimishwa suluhu na Polisi Tanzania Misungwi mkoani Mwanza jana – Ligi Kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa mechi moja zaidi, Tanzania Prisons wakiwakaribisha JKT Tanzania kuanzia Saa 10:00 jioni Uwanja wa Nelson Mandela, SUmbawanga mkoani Rukwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GWAMBINA FC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA POLISI TANZANIA MISUNGWI, LEO NI PRISONS NA JKT SUMBAWANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top