• HABARI MPYA

  Saturday, March 07, 2020

  MANE ASETI LA KWANZA, APIGA LA PILI LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-1

  Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akiruka kushangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la ushindi kwa pasi nzuri ya beki Mholanzi, Virgil van Dijk dakika ya 33 ikiwalaza 2-1 AFC Bournemouth kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bournemouth ilitangulia kwa bao la Callum Wilson akimalizia pasi ya Jefferson Lerma dakika ya tisa kabla ya Mohamed Salah kuisawazishia Liverpool dakika ya 25 kwa pas ya Mane 
    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE ASETI LA KWANZA, APIGA LA PILI LIVERPOOL YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top