• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 22, 2020

  KIKOSI CHA 82 RANGERS SHINYANGA KILICHOIKOMALIA SIMBA SC 2002

  KIKOSI cha 82 Rangers ya Shinyanga kabla ya mechi na Simba SC iliyomalizika kwa sare ya 2-2  Agosti 31, mwaka 2002 Uwanja wa Kambarage mkoan Shinyanga. Waliosimama kutoka kulia ni Emmanuel Kingu, Shamte Mathias, Victor Isaac, Karume Songoro na Mohamed Pwani.  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Said Mzezere ‘Panya Boy’, Ally Mrisho ‘Madonso’, Medard Barongo, Jemedari Said na Richard Mganga ‘Yondo’.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA 82 RANGERS SHINYANGA KILICHOIKOMALIA SIMBA SC 2002 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top