• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 20, 2020

  BERNARD MORRISON KIBOKO YA SIMBA SC ATIWA KITANZI JANGWANI, ASAINI MKATABA YANGA SC HADI JUNI 2022

  Kiungo mshambuliaji, Mghana Benard Morrison (kushoto) akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Yanga SC, Mhandisi Hersi Said (kulia) leo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu hiyo. 
  Bernard Morrison alijiunga na Yanga SC Januari kwa mkataba wa miezi sita na baada ya kazi nzuri ikiwemo kufunga bao pekee kwenye ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wa jadi, Simba SC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Machi 8, mwaka huu, Mghana huyo 'ametiwa kitanzi' Jangwani hadi Juni 2022. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BERNARD MORRISON KIBOKO YA SIMBA SC ATIWA KITANZI JANGWANI, ASAINI MKATABA YANGA SC HADI JUNI 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top