• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 05, 2020

  AGUERO AIPELEKA MAN CITY ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 53 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sheffield Wednesday katika mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Hillsborough, Sheffield hivyo kutinga Robo Fainali ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO AIPELEKA MAN CITY ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top