• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 09, 2020

  RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI ALIVYOSHUHUDIA YANGA SC WAKIWAADHIBU WATANI WAO, SIMBA SC JANA TAIFA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa. Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono mashabiki wa soka waliohudhuria mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya Yanga SC na Simba jana Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0 bao pekee la kiungo mshambuliaji Mghana, Barnard Morrison dakika ya 44. 
  Rais Dk. John Pombe Magufuli akifurahia burudani ya pambano la watani wa jadi jana
  Rais Dk. John Pombe Magufuli akifuatilia kwa makini pambano la watani wa jadi jana 
  Mashabiki wa Yanga wakiwa wamebeba bango la kumshukuru Rais Dk. John Pombe Magufuli jana 
  Mashabiki wa Yanga wakimfurahia Rais Dk. John Pombe Magufuli jana 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: RAIS DK JOHN POMBE MAGUFULI ALIVYOSHUHUDIA YANGA SC WAKIWAADHIBU WATANI WAO, SIMBA SC JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top