• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 29, 2020

  NYOTA WA TP MAZEMBE, MTANZANIA THOMAS EMMANUEL ULIMWENGU AKIFANYA MAZOEZI YA VIUNGO NYUMBANI LUBUMBASHI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emanuel Ulimwengu akifanya mazoezi ya viungo nyumbani kwake mjini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) anakochezea klabu ya TP Mazembe, kipindi hiki michezo dunia nzima imesitishwa baada ya mlipuko wa homa ya virusi ya corona inayosababisha ugonjwa wa COVID 19 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NYOTA WA TP MAZEMBE, MTANZANIA THOMAS EMMANUEL ULIMWENGU AKIFANYA MAZOEZI YA VIUNGO NYUMBANI LUBUMBASHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top