• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 04, 2020

  CHELSEA YAIPIGA LIVERPOOL 2-0 NA KUITOA KOMBE LA FA

  Ross Barkley akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la pili dakika ya 64 kufuatia Willian kufunga la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool kwenye mchezo wa Raundi ya Tano ya Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Stamford Bridge, London hivyo kutinga Robo Fainali 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIPIGA LIVERPOOL 2-0 NA KUITOA KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top