• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 08, 2020

  WILLIAN APIGA BAO LA TATU CHELSEA YAITANDIKA EVERTON 4-0

  Willian akishangilia baada ya kuifungia bao la tatu Chelsea dakika ya 51 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijin London. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Mason Mount dakika ya 14, Pedro dakika ya 21 na Olivier Giroud dakika ya 54 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WILLIAN APIGA BAO LA TATU CHELSEA YAITANDIKA EVERTON 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top