• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 12, 2020

  NEYMAR AFUNGA PSG YAICHAPA DORTMUND 2-0 NA KUTNGA ROBO FAINALI

  Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza PSG dakika ya 28, kabla ya Juan Bernat kufunga la pili dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris kwenye mchezo wa marudano wa Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. PSG inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Ujerumani na inakwenda Robo Fainali kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2016 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NEYMAR AFUNGA PSG YAICHAPA DORTMUND 2-0 NA KUTNGA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top