• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 29, 2020

  KIUNGO WA SIMBA SC, FRANCS KAHATA NYAMBURA AGAWA LITA 10,000 ZA MAJI SAFI KWAO MATHARE KUSAIDIA JAMII DHIDI YA CORONA

  KIUNGO wa Simba SC, Francis Kahata Nyambura leo ametoa msaada wa maji safi lita 10, 000 katika eneo la Mathare nyumbani kwao, Jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya wakazi wa eneo hilo ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada ya kupambana na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID 19.
  Kahata aliye katika msimu wake wa kwanza Simba SC ya Dar es Salaam bada ya kuwasili kutoka Gor Mahia ya kwao, Kenya ametoa msaada huo baada ya mashabiki wake wa eneo hilo kumuomba.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIUNGO WA SIMBA SC, FRANCS KAHATA NYAMBURA AGAWA LITA 10,000 ZA MAJI SAFI KWAO MATHARE KUSAIDIA JAMII DHIDI YA CORONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top