• HABARI MPYA

  Thursday, March 12, 2020

  MANCHESTER UNITED KUMENYANA NA LASK LEO UEFA EUROPA LEAGUE

  Man United wanasafiri mpaka Nchini Austria kukipiga na Wababe wa Ligi nchini humo LASK.
  LASK wanaingia katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya Kumtoa Mwanakundi wa United ,Az Alkmaar katika hatua ya Roundi ya 32 ya Europa league.
  Bruno Fernandes wa Man United anaingia katika mchezo huu akiwa na kumbukumbu ya kuwafunga LASK katika mchezo wa makundi msimu huu wakati akiiwakilisha Sporting Cp ya Ureno. 
  Huku Ighalo nae akihitaji kuendeleza moto wake..Usikose .!
  Tizama LIVE mchezo huu kupitia St.World Football chanel ya Startimes Pekee!
  Saa 2:55 Usiku huu...

  Fuatilia taarifa mbalimbali za kimichezo,Instagram @startimessportstz
  @startimestz
  #StartimesOn
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED KUMENYANA NA LASK LEO UEFA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top