• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 26, 2020

  UMATI ULIOJITOKEZA KUMSINDIKIZA ASHA MUHAJI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO LEO DAR ES SALAAM

  Umati wa watu uliojitokeza kwenye mazishi ya aliyewahi kuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba SC, Asha Muhaji jioni ya leo kwenye makaburi ya Mwinyi Mkuu, Magomeni Jijini Dar es Salaam. Asha Muhaji aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo katika magazeti mbalimbali nchini, alifariki dunia jana mchana katika hosptali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam alipokuwa amelazwa kwa matibabu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UMATI ULIOJITOKEZA KUMSINDIKIZA ASHA MUHAJI KATIKA SAFARI YAKE YA MWISHO LEO DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top