• HABARI MPYA

  Saturday, March 28, 2020

  NYOTA WA MAN UNITED, ANTHONY MARTIAL NA MWONEKANO MPYA

  Mshambuliaji Mfaransa wa klabu ya Manchester United, Anthony Jordan Martial akionyesha mwonekano mpya kichwani kwake baada ya kunyoa nywele kama alivyoposti mwenyewe picha hii leo akiambatanisha na ujumbe; BAKI nyumbani 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NYOTA WA MAN UNITED, ANTHONY MARTIAL NA MWONEKANO MPYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top