• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 07, 2020

  MO DEWJI AKIZUNGUMZA NA WACHEZAJI SIMBA SC KUELEKEA MPAMBANO WA KESHO DHIDI YA YANGA SC UWANJA WA TAIFA

  Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Simba, Mohamed 'Mo' Dewji akizungumza na wachezaji leo kambini Jijini Dar es Salaam kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya watani wa jadi, Yanga Uwanja wa Taifa

  Nahodha wa Simba SC, John Bocco akizungumza kwa niaba ya wachezaji kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga 

  Mohamed Dewji aliongozana na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah, Mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ambaye pia alikuwa Mtendaji Mkuu, Crescentius Magori pamoja na Mtendaji Mkuu, Senzo Mazingisa katika ziara hiyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MO DEWJI AKIZUNGUMZA NA WACHEZAJI SIMBA SC KUELEKEA MPAMBANO WA KESHO DHIDI YA YANGA SC UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top