Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Dk. Mshindo Msolla akimkaribisha na kumkabidhi zawadi maalum Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad jana kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Uwanja wa Taifa Jijin Dar es Salaam kama kumbukumbu yake juu ya timu hiyo. Yanga ilishinda 1-0 bao pekee la kiungo Mghana, Bernard Morrison.
2026 NFL Draft: Penn State QB Drew Allar goes to Steelers as possible Aaron
Rodgers heir
-
Drew Allar played in six games last season due to an ankle injury.
55 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment