• HABARI MPYA

  Tuesday, March 24, 2020

  CORONA; MIKE TYSON AINGIA KARANTINI NA MBWA WAKE

  Mike Tyson mwenye umri wa miaka 53 sasa akiwa na mbwa wake katika karantini yake Jijini Nevada, Marekani kujihadhari na maambukizi ya virusi vya corona, Akiwa huko, bingwa huyo wa zamani wa ngumi za kulipwa duniani uzito wa juu, amekuwa akicheza na mbwa wake huyo tu PICHA ZADI GONGA HAPA

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CORONA; MIKE TYSON AINGIA KARANTINI NA MBWA WAKE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top