KATIBU MKUU WA TFF, KIDAO ALIVYOFUNGA MASHINDANO YA KOMBE LA RUVU JANA MOROGORO
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kidao Wilfred akimkabidhi zawadi mmoja wa wachezaji wa timu zilizoshriki mashindano ya Kombe la Ruvu wakati wa kufunga michuano hiyo iliyofanyika mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment