• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 26, 2020

  KWA BERNARD MORRISON WA YANGA SC, MAZOEZI NI POPOTE KIPINDI HIKI CHA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA

  Winga Mghana wa Yanga SC, Bernard Morrison akifanya mazoezi ya kuruka kamba katika maegesho ya magari kwenye nyumba anayoishi eneo la Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam kujiweka fiti kipindi hiki ambacho klabu yake imesimamisha mazoezi ya timu kwa agizo la Serikali kufuatia mlipuko wa virusi vya corona dunaini kote  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KWA BERNARD MORRISON WA YANGA SC, MAZOEZI NI POPOTE KIPINDI HIKI CHA MLIPUKO WA VIRUSI VYA CORONA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top