• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 09, 2020

  REAL BETIS YAIPIGA REAL MADRID 2-1 KATIKA LA LIGA BENITO VILLAMARIN

  Real Madrid imepoteza nafasi ya kurudi kileleni katika La Liga baada ya kuchapwa 2-1 Real Betis usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarin, Sevilla. Mabao ya Real Betis yalifungwa na Sidnei Rechel da Silva Junior dakika ya 40 na Cristian Tello dakika ya 82, wakati bao pekee la Real Madrid limefungwa na Karim Benzema dakika ya 45 na ushei kwa penalti. Sasa Real Madrid inazidiwa pointi mbili na Barcelona (58-56) katika msimamo wa La Liga 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL BETIS YAIPIGA REAL MADRID 2-1 KATIKA LA LIGA BENITO VILLAMARIN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top