• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 05, 2020

  NDANDA FC YATOZWA FAINI SH 1, 000,000 KWA KUINGILIA WA ‘UANI’ MECHI NA MTIBWA SUGAR GAIRO

  TIMU ya Ndanda FC imetozwa faini ya Tsh 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la timu hiyo kuingia uwanjani kwa kupitia mlango usio rasmi na kuliacha gari tupu likipita katika mlango rasmi katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar Februari 29, 2020 uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro.
  Adhabu inatolewa kwa uzingativu wa kanuni ya 14(43) ya Ligi Kuu kuhusu Taratibu za Mchezo.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NDANDA FC YATOZWA FAINI SH 1, 000,000 KWA KUINGILIA WA ‘UANI’ MECHI NA MTIBWA SUGAR GAIRO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top