• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 07, 2020

  FRANK DOMAYO AIFUNGIA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA ALLIANCE FC 1-0 MECHI YA LIGI KUU LEO MCHANA UHURU

  Wachezaji wa Azam FC wakimpongeza mwenzao, Frank Domayo (kulia) baada ya kufunga bao pekee la ushindi dakika ya 85 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Alliance FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FRANK DOMAYO AIFUNGIA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA ALLIANCE FC 1-0 MECHI YA LIGI KUU LEO MCHANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top