• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 03, 2020

  TYSON FURY NA DEONTAY WILDER KUZIPIGA KWA MARA YA TATU JULAI

  Bondia Tyson Fury (kushoto) na Deontay Wilder (chini kulia) watapigana kwa mara ya tatu Julai 18 mwaka huu ukumbi wa MGM Jinini Las Vegas. Mapambano mawili ya awali, Desemba 1, 2018 walitoka droo ukumbi wa Staples Center Jijini Los Angeles na Februari 22 Fury alishinda kwa Knockout (TKO) raundi ya saba hapo hapo MGM Grand PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TYSON FURY NA DEONTAY WILDER KUZIPIGA KWA MARA YA TATU JULAI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top