• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 07, 2020

  KIKOSI CHA LIBERIA KILIVYOWASILI DAR ES SALAAM KUSHIRIKI MICHUANO YA U16 KUANZIA MACHI 10 NCHINI

  Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana ya Liberia chini ya umri wa miaka 16 wakitoka nje Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya kushiriki mashindano maalumu ya U16 yatayoshirikisha nchi tatu, wakiwemo wenyeji, Tanzania kuanzia Machi 10, mwaka huu 

  Wachezaji wa Liberia wakitoka nje ya JNIA baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya kushiriki mashindano maalumu ya U16 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KIKOSI CHA LIBERIA KILIVYOWASILI DAR ES SALAAM KUSHIRIKI MICHUANO YA U16 KUANZIA MACHI 10 NCHINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top