KIKOSI cha Small Simba ya Zanzibar mwaka 1991 kikiwa Jijini Mbabane, Swaziland (sasa Ewatini) kabla ya mechi ya marudiano Raundi ya Awali Kombe la Washindi Afrika dhidi ya wenyeji, Highlanders. Kutoka kulia waliosimama ni Hussein Lee (Meneja), Ridhaa Hamisi, Mohamed Kachumbari, Duwa Said, Karume Mussa, Ubwa Makame ‘Mzungu’, Innocent Haule, Rashid Hamisi na Hamisi Mpemba. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Hajji Mwinyi, Gharib Mahmoud ‘Latto’, Juma Bakari ‘Kidishi’, Ally Diego, Issa Lambo, Zuberi Wambura, Mahmoud Abofu na Hamisi Kisaka. Highlanders ilishinda 3-1 na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia Small SImba kushinda 1-0 Zanzibar.
Best available OL in 2026 NFL Draft: Updated results, top prospects still
on board
-
The latest news and notes from Pittsburgh.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment