• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 01, 2020

  REFA KAZI AKISALIMIANA NA NYOTA WA MORO UNITED 2005 MWANZA

  REFA anayetambulwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Osman Kazi (kulia) akipeana mkono na beki wa Moro United, Shaaban Elia Mkongwe (katikati) kabla ya mechi ya Kombe la Tusker dhidi ya SC Villa ya Uganda Juni 19, mwaka 2005 Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mwingine kushoto ni beki wa kati, Faustin Lukoo. SC Vlla ilishinda 2-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REFA KAZI AKISALIMIANA NA NYOTA WA MORO UNITED 2005 MWANZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top