• HABARI MPYA

  Saturday, March 28, 2020

  MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI MTANZANIA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA NYASA BIG BULLETS YA MALAWI

  Mshambuliaji chipukizi Mtanzania, Meshack Suleiman mwenye umri wa miaka 22 akisaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Nyasa Big Bullets, zamani Bata Bullets Jijini Blantyre baada ya kuachana na Karonga United, zote za Ligi Kuu ya Malawi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSHAMBULIAJI CHIPUKIZI MTANZANIA ASAINI MKATABA WA KUJIUNGA NA NYASA BIG BULLETS YA MALAWI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top