Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Wallace Karia (kushoto) akiwa na Mshauri wa Ufundi wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kanda ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika, Serame Letsoaka (katikati) ambaye yupo nchini kwa siku tatu kuanzia leo kwa ajili ya mazungumzo kuhusu maendeleao ya mchezo huo nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Ufundi wa TFF, Oscar Mirambo.
FG endorses 2022 OGSFEST UYO, event
-
From Charity Nwakaudu, Abuja The Oil and Gas Stakeholders Festival,
(OGSFEST) UYO 2022, endorsed by the Federal Ministry of Environment is set
to begin...
Dakika 19 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni