• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 17, 2020

  AZAM FC WALIVYOJIFUA JANA CHAMAZI KUJIANDAA NA MECHI ZAO ZIJAZO LIGI KUU NA ASFC

  Wachezaji wa Azam FC wakiwa mazoezini jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam kujiandaa na mechi zao zijazo za Ligi Kuu ya Tanzania Bara pamoja na Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC)
  Kocha wa Azam FC akiongoza mazoezi ya timu yake jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC WALIVYOJIFUA JANA CHAMAZI KUJIANDAA NA MECHI ZAO ZIJAZO LIGI KUU NA ASFC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top