• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 01, 2020

  TANZANITE YAIPIGA 2-1 TENA UGANDA PALE PALE KAMPALA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20 COSTA RICA

  Wachezaji wa timu ya wasichana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite wakifuraha baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Uganda jioni ya leo Uwanja wa Star Times mjini Kampala kwenye mchezo wa marudiano kuwania tiketi za fainali za Kombe la Dunia za U20 Costa Rica na Panama. Tanzanite imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Diana Msewa dakika ya 59 na Opa Clement dakika ya 68, baada ya Phiona Nabbumba kuanza kuwafungia wenyeji dakika ya 48. Tanzania inasonga mbela kwa ushindi wa jumla wa 4-2 kufuata kushinda 2-1 pia nyumbani mwezi uliopita na sasa itamenyana na mshindi wa jumla kati ya Sierra Leone na Senegal, mechi ya kwanza Machi 20 ugenini na marudiano Machi 27 nyumbani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TANZANITE YAIPIGA 2-1 TENA UGANDA PALE PALE KAMPALA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20 COSTA RICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top