• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 02, 2020

  MALINDI ILIYOTWAA UBINGWA WA LIGI YA MUUNGANO TANZANIA 1992

  KIKOSI cha Malindi kilichotwaa ubingwa wa Zanzibar na Muungano mwaka 1992, kikiwapiku mabingwa wa Bara wa mwaka huo, Yanga SC; kutoka kulia waliosimama ni Meneja ni Naushad Mohamed na wachezaji Amour Aziz, Juma Bakari Kidishi, Yassin Saleh, Islim Seif, Sharid Adolph na Kocha Hussein Kheri (sasa marehemu).
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni; Ally Nassor ‘Kibichwa’, Waziri Seif, Shekha Khamis, Rashid Salum ‘Tall’, Hassan Abdallah Wembe na Athanas Michael.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MALINDI ILIYOTWAA UBINGWA WA LIGI YA MUUNGANO TANZANIA 1992 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top