• HABARI MPYA

  Jumamosi, Februari 01, 2020

  GSM YASHUSHA 'MZUNGU' MTAALAMU ILI KUSHAURI MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA KLABU YA YANGA

  Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Fredrick Mwakalebela (kulia) akiwa na mtaalamu aliyebobea wa mfumo wa kisasa wa uendeshaji soka, Carraca Antonio Domingoz Pinto (katikati) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo kwa ajili ya kushauri juu ya mfumo wa mabadiliko ya uendeshaji wa klabu hiyo.
  Kushoto ni Mhandisi Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, kampuni iliyomleta Pinto aliyewahi kuwa Meneja Mkuu wa Benfica ya kwao, Ureno kwa muongo mmoja mzima 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: GSM YASHUSHA 'MZUNGU' MTAALAMU ILI KUSHAURI MABADILIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI WA KLABU YA YANGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top