• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 06, 2020

  WINGA WA TP MAZEMBE AWASILI DAR KUJIUNGA NA YANGA SC, ATAUNGANA NA KIKOSI ZANZIBAR KOMBE LA MAPINDUZI

  KIUNGO mshambuliaji, Owe Bonyanga Ituku akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashndano ya Yanga SC, Hersi Said baada ya kuwasili nchini kutoka kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari kujiunga na timu hiyo baada ya kuchezea klabu mbalimbali kwao ikiwemo TP Mazembe ya Lubumbashi.  moja kwa moja ataungana na kikosi kilichopo Zanzibar kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi.
  Kulia ni Meneja wa Owe Bonyanga Ituku, Mutuale Nestoresangule kwa pamoja na Injinia Hersi Said, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: WINGA WA TP MAZEMBE AWASILI DAR KUJIUNGA NA YANGA SC, ATAUNGANA NA KIKOSI ZANZIBAR KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top