• HABARI MPYA

  Jumatatu, Januari 06, 2020

  SIMBA SC WALIVYOWASILI KISIWANI PEMBA JANA TAYARI KUMENYANA NA ZIMAMOTO KESHO KOMBE LA MAPINDUZI

  Kiungo Ibrahim Ajibu akiwaongoza wenzake baada ya kikosi kuwasili kisiwani Pemba jana tayari kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, ambayo inatarajiwa kuanza leo huku mabingwa hao wa Tanzania wakicheza mechi yao ya kwanza kesho kwa kumenyana na Zimamoto Saa 10:15 Uwanja wa Gombani, mchezo ambao utarushwa LIVE na Azam Sports 2 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC WALIVYOWASILI KISIWANI PEMBA JANA TAYARI KUMENYANA NA ZIMAMOTO KESHO KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top