• HABARI MPYA

    Saturday, November 02, 2019

    MKUFUNZI SUNDAY KAYUNI AKIWAPA DARASA MAKOCHA WANAOSHIRIKI KOZI YA DIPLOMA C YA CAF

    Mkufunzi wa Kimataifa, Sunday Burton Kayuni akiwafundisha washiriki wa Kozi ya Ukocha ya Diploma C ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) inayoendelea kwenye ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Uwanja wa Karume mjini Dar es Salaam. Kozi hiyo ya siku 28 inashirikisha Makocha 30 kutoka mikoa mbalimbali  
    Kocha wa makipa wa klabu ya Yanga, Manyika Peter ni mmoja wa washiriki  
     Kocha wa timu ya wanawake ya Simba, Mussa Hassan Mgosi ni mmoja wa washiriki
    Washiriki wakimsikiliza kwa makini Mkufunzi Sunday Kayuni wakati akitoa somo darasani

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MKUFUNZI SUNDAY KAYUNI AKIWAPA DARASA MAKOCHA WANAOSHIRIKI KOZI YA DIPLOMA C YA CAF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top